BREAKING NEWS - NAIBU WAZIRI PAULINE GEKUL ATUMBULIWA

 


Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka Ikulu zinaeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Pauline Philipo Gekul.

Taarifa hiyo iliyowasilishwa na kurugenzi ya mawasialiano ya rais Ikulu haijaeleza sababu za kutenguliwa kwa Gekul.

Kutokana na uamuzi huo wa Rais, Wizara ya Katiba na sheria haina naibu waziri hadi atakapoteuliwa Mbunge mwingine kushukuwa nafasi.

Post a Comment

0 Comments