Rais Samia safarini kuelekea Katesh

RAIS SAMIA NJIANI KUELEKEA KATESH

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa.



(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments