Breaking News- Matokeo kidato cha Pili yatangazwa

Baraza la Mitihani Tanzania limetangaza matoleo ya mitihani ya majaribio kwa wanafunzi wa darasa la nne na kidato cha pili

Shule nyingi zatamba kufanya vizuri ingawa lundo kubwa la wanafunzi wamepata alama sifuri

Shule zenye majina ya viongozi waandamizi wakiwemo Salma Kikwete, Anna Ntibaijuka, Prof. Ndalichako zatajwa kwenye orodha ya shule za sekondari zilizofanya vibaya katika matokeo ya kidato cha pili

Bonyeza limk hapa chini kupata matokeo ya shule za sekondari kidato cha pili

MATOKEO KIDATO CHA PILI 2023

Je, kutumia majina ya wasomi na nguri katika fani mbalimbali na viongozi wenye heshima serikalini na kisha shule husika kufanya vibaya kwenye mitihani ni kudharirisha wenye majina yao?

Toa maoni yako 

Post a Comment

0 Comments