Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM.


 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, ameoongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 15 Januari, 2024 Mjini Unguja Zanzibar.

Rais Samia akiongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mjini Unguja.

 

Post a Comment

0 Comments