Rais Dr. Samia akutana na Naibu Waziri Mkuu wa China

 

Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Liu Guozhong, Ikulu Jijini Dar es Salaam



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Liu Guozhong mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Liu Guozhong mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024.


Post a Comment

0 Comments