Kinana asaini kitabu cha maombolezo kifo cha Rais wa Namibia.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (Bara) Abdulrahman Kinana amesaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Mheshimiwa Dkt. Hage G. Geingob.

Kinana amesaini Kitabu hicho katika Ofisi za  Ubalozi huo uliopo  Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Februari, 2024.

Imeandikwa na Mwandishi wetu






Post a Comment

0 Comments