[JUMATATU]
Time |
Program Name/Tittle |
Specific Objective |
Targeted audience |
Expected Achievement |
05:00-08:00 |
Taifa letu |
Kipindi hiki
kitahusika na masuala yafuatayo. 1.
Kuhabarisha jamii kuhusu Utabiri wa hali ya hewa 2.
Salaam za Asubuhi 3.
Uchambuzi wa masuala mbalimbali yatakayolenga jamii kufahamu kuhusu tunu
za taifa 4.
Kuarifu na kuchambua taarifa za kiusalama kwa
nia ya kupunguza na kudhibiti uhalifu mkoani Kigoma 5.
Uchambuzi kuhusu Uchumi na ari ya vijana kushiriki shighuli za kiuchumi na ulinzi wa Taifa |
Vijana na watu
wazima Vyombo
vya dola Viongozi wa Dini Viongozi wa Umma |
1.
Kuongezeka kwa uzalendo miongoni mwa vijana 2.
Mwamko wa vijana
kushiriki katika shughuli za kujitolea 3.
Kuongezeka kwa ari ya vijana kusima historia ya nchi 4.
Kukua kwa matumizi ya lugha ya
Kiswahili 5.
Ongezeko la vijana katika vikundi vya
ulinzi shirikishi na polisi jamii 6.
Kutotoa taarifa nyeti
kwa wageni 7.
Jamii kufahamu kuhusu Hali ya hewa
na fursa za kiuchumi |
08:00 -09:00 |
Kilimo na mazingira |
Kufanya
uchambuzi kuhusu fursa za uchumi katika
Kilimo, hifadhi ya mazingira na masoko ya mazao ya
kilimo na mazingra. Kuhimiza kilimo
biashara Ufugaji wa nyuki Taarifa za bei ya mazao ya kilimo,
Mifugo na misitu |
Wakulima na wafugaji |
1.
Jamii kufahamu mbinu za ukulima bora 2.
Jamii ya wakulima kujua
fursa za masoko ya mazao 3.
Kuhimiza jamii kuhusu
hifadhi ya mazingira na ufugaji wa nyuki |
09:00 -09:30 |
MUZIKI
NA MATANGAZO |
Kutoa
fursa kwa jamii kupata Burudani ya Muziki mchanganyiko na matangazo mbalimbali ya Kijamii |
Jamii nzima |
1. Jamii kwa ujumla kupata
burudani ya muziki na kuufanya ubongo kupumzika na pia kusikiliza na kufahamu
kuhusu fursa mbalimbali kupitia matangazo ya kijamii na kiuchumi |
09:30 -10:00 |
KUTANO LA AFRIKA MASHARIKI |
Uchambuzi wa habari, matukio
na muziki kutoka nchi
za Jumuiya ya Afrika Mashariki |
Wageni, wakimbizi na watanzania |
Kuhabarisha umma kuhusu Matukio, shughuli za maendeleo, Uchumi, siasa, ulinzi na
usalama, Sanaa na utamaduni wa nchi zinazounda jumuiya ya Afrika Mashariki.
Kupitia katika kipindi hiki wakimbizi walioko mkoani Kigoma watasikiliza
taarifa zinazohusu maendeleo ya nchi zao na hivyo kushawishika kurejea nchini mwao |
10:00 – 10:10 |
Taarifa ya habari |
Kuhabarisha na kuelimisha jamii kuhusu masuala mbalimbali
yaliyojiri katika maeneo yetu, kimkoa, kikanda, kitaifa na kimataifa |
Jamii Nzima |
Jamii kupata
taarifa sahihi na muhimu kwa ajili ya kuongeza ufahamu na kubadili tabia |
10:10 – 11:00 |
WATOTO NA TANZANIA |
Kuwapa fursa watoto nafasi
ya kuonesha vipaji vyao katika fani mbalimbali ikiwemo utoaji wa maelezo na maoni kuhusu
maisha yao |
Watoto walio
katika elimu ya msingi |
Watoto kuonesha vipaji katika masuala mbalimbali |
11:00 – 11:30 |
Nyota wetu wiki
hii |
Kuchambua maisha
ya mtu mwenye mafanikio katika Nyanja mbalimbali katika jamii, kuanzia ngazi
ya chini hadi kimataifa |
Watoto naVijana |
Kuamsha ari kwa jamii hasa vijana kushiriki katika
shughuli ambazo zitaacha alama katika maisha yao hasa kwenye uwanda wa ujasiriamali. |
10:30 -14:00 |
MCHANA MWEMA |
1.
Salaam na Muziki – kutoa
fursa kwa jamii kutakiana
mchana mwema na kuburudika na muziki 2.
Mkusanyiko na uchambuzi wa
habari za Ulimwengu 3.
Makala za mapishi na biashara za vyakula |
Jamii nzima Familia Wachuuzi
wa vyakula na mighahawa |
Jamii kupata elimu, na kupashana habari. Pia jamii
itakuwa na fursa ya kusalimiana na kujenga umoja miongoni mwao pamoja na
kubadilishana taarifa muhimu za kimaisha |
14:00 – 17:30 |
Sanaa na Maisha |
1.
Uchambuzi na Makala za Sanaa mbalimbali ikiwemo Musizi, Sanaa za ufundi, Sanaa za maonesho, na Utamaduni 2.
Uchambuzi na burudani ya Muziki
asilia, Misemo, Ngoma na burudani nyingine |
Jamii nzima (watoto,
vijana na wazee) |
Kuongeza Ufahamu wa jamii kuhusu masuala mbalimbali
ya Sanaa na Muziki |
17:30 – 18:00 |
Mtaani
kwetu kumenoga (Matokeo Chanya) |
KUipa jami fursa ya kupata taarifa kupitia matangazo ya kijamii,
kiuchumi nk |
wote |
Jamii kujua fursa
zilizopo |
18:00 – 21:00 |
Jioni Mwanana |
Uchambuzi wa habari za ulimwengu,
Taarifa za Michezo na Burudani, Matangazo, na Leo Katika historia |
wote |
Jamii kupata
habari mbali mbali za kijamii na kimataifa, na yaliyojiri katika anga la
michezo na burudani |
21:00 – 22:00 |
Habari na matukio |
Taarifa ya habari
Uchambuzi wa matukio |
wote |
Kupata habari
na taarifa za matukio
mbalimbali |
22:00 – 00:00 |
Lala Salama |
Muziki laini
na Salaam za lala
salama |
wote |
Burudani |
JUMANNE
Muda |
Jina la Kipindi |
Lengo Kuu |
Walengwa |
Matarajio |
05:00-08:00 |
Taifa letu |
Kipindi hiki
kitahusika na masuala
yafuatayo. 6.
Kuhabarisha jamii kuhusu Utabiri wa hali ya
hewa 7. Salaam za
Asubuhi 8.
Uchambuzi wa masuala mbalimbali yatakayolenga jamii kufahamu kuhusu tunu
za taifa 9.
Kuarifu na kuchambua taarifa za kiusalama kwa nia ya kupunguza na kudhibiti uhalifu
mkoani Kigoma 10.
Uchambuzi kuhusu Uchumi na ari ya vijana
kushiriki shighuli za kiuchumi na ulinzi wa Taifa |
Vijana na watu wazima Vyombo vya dola Viongozi wa Dini
Viongozi wa Umma |
8.
Kuongezeka kwa uzalendo miongoni mwa vijana 9.
Mwamko wa vijana kushiriki katika shughuli za kujitolea 10.
Kuongezeka kwa ari ya
vijana kusima historia ya nchi 11.
Kukua kwa matumizi ya lugha ya Kiswahili 12.
Ongezeko la vijana katika vikundi vya ulinzi shirikishi na polisi jamii 13.
Kutotoa taarifa nyeti kwa wageni 14.
Jamii kufahamu kuhusu Hali ya hewa na
fursa za kiuchumi |
08:00 –
10:00 |
Zijue serikali za mitaa
Tanzania |
Uchambuzi wa Shughuli za
serikali za mitaa, Uwajibikaji wa Jamii na viongozi katika
maeneo yao |
Viongozi wa serikali
na wananchi |
Jamii kufahamu
mfumo wa iutendaji wa serikali za mitaa na wajibu wa wananchi na viongozi katika ngazi mbalimbali |
10:00 – 10:10 |
Taarifa ya habari |
|
|
|
10:10 -11:00 |
MUZIKI NA MATANGAZO |
Kutoa fursa
kwa jamii kupata Burudani ya Muziki mchanganyiko
na matangazo mbalimbali ya Kijamii |
Jamii nzima |
Jamii kwa ujumla kupata burudani ya muziki na
kuufanya ubongo kupumzika na pia kusikiliza na kufahamu kuhusu fursa
mbalimbali kupitia matangazo ya kijamii na kiuchumi |
11:10 – 11:30 |
WATOTO NA TANZANIA |
Kuwapa
fursa watoto nafasi ya kuonesha vipaji vyao
katika fani mbalimbali
ikiwemo utoaji wa maelezo na maoni kuhusu maisha yao |
Watoto walio
katika elimu ya msingi |
Watoto
kuonesha vipaji katika masuala mbalimbali |
11:30 -14:00 |
MCHANA MWEMA |
1.
Salaam na Muziki
– kutoa fursa kwa jamii kutakiana mchana mwema na kuburudika na
muziki 2.
Mkusanyiko na uchambuzi wa habari za Ulimwengu 3.
Makala za mapishi na biashara za vyakula |
Jamii nzima Familia Wachuuzi wa vyakula
na mighahawa |
Jamii kupata elimu, na kupashana habari. Pia jamii
itakuwa na fursa ya kusalimiana na kujenga
umoja miongoni mwao pamoja na kubadilishana taarifa muhimu za kimaisha |
14:00 – 15:00 |
SALAAM NA MUZIKI (CHAGUO LA MSIKILIZAJI) |
Msikilizaji kuchagua wimbo au muziki
aupendao |
Vijana |
Kuburudisha jamii hasa vijana majira ya mchana na
kuhamasiaha vijana kupenda Sanaa na muziki
sambamba na kuhimiza
maadili. |
15:00 – 17:00 |
MGUU KWA MUGUU (Makala
kutoka Matokeo chanya) |
Kutoa habari kuhusu
utekelezaji wa shughuli mbali mbali za kijamii (miradi ya Umma)
inayotekelezwa na serikali pamoja na wadau wa maendeleo |
Jamii hususani Vijana. |
Jamii kujua
kinachotekelezwa na serikali katika maeneo mbalimbali nchini hususani wilaya
ya Kasulu na mkoa wa Kigoma |
17:00 – 18:00 |
MUZIKI NA MATANGAZO |
Kuburudisha na kuhabarisha
kuhusu fursa mbalimbali au taarifa kwa umma |
Jamii |
Jamii kuburudika na pia kujua kuhusu fursa na taarifa za kijamii |
18:00 – 21:00 |
Jioni Mwanana |
Uchambuzi wa habari za
ulimwengu, Taarifa za Michezo na Burudani, Matangazo, na Leo Katika
historia |
wote |
Jamii kupata
habari mbali mbali za kijamii na kimataifa, na yaliyojiri katika anga la
michezo na burudani |
21:00 – 22:00 |
Habari na matukio |
Taarifa ya habari
Uchambuzi wa matukio |
wote |
Kupata habari na taarifa za matukio mbalimbali |
22:00 – 00:00 |
Lala Salama |
Muziki laini
na Salaam za lala
salama |
wote |
Burudani |
JUMATANO
Muda |
Jina la Kipindi |
Lengo Kuu |
Walengwa |
Matarajio |
05:00-08:00 |
Taifa letu |
Kipindi
hiki kitahusika na masuala
yafuatayo. 1.
Kuhabarisha jamii
kuhusu Utabiri wa hali ya hewa 2.
Salaam za Asubuhi 3.
Uchambuzi wa masuala mbalimbali yatakayolenga
jamii kufahamu kuhusu tunu
za taifa 4.
Kuarifu na kuchambua taarifa za kiusalama kwa nia
ya kupunguza na kudhibiti uhalifu mkoani Kigoma |
Vijana na
watu wazima Vyombo vya dola Viongozi
wa Dini Viongozi
wa Umma |
1.
Kuongezeka kwa uzalendo miongoni mwa vijana 2.
Mwamko wa vijana kushiriki katika shughuli za kujitolea 3.
Kuongezeka kwa ari ya vijana kusima historia ya nchi 4.
Kukua kwa matumizi ya lugha ya Kiswahili 5.
Ongezeko la vijana katika vikundi vya ulinzi
shirikishi na polisi
jamii 6.
Kutotoa taarifa nyeti
kwa wageni 7.
Jamii kufahamu kuhusu
Hali ya hewa na fursa za
kiuchumi |
08:00 –
10:00 |
MGUU KWA MUGUU (Makala kutoka Matokeo chanya) MARUDIO |
Kutoa habari kuhusu
utekelezaji wa shughuli mbali mbali
za kijamii (miradi ya Umma) inayotekelezwa na serikali
pamoja na wadau wa maendeleo |
Jamii
hususani Vijana. |
Jamii kujua
kinachotekelezwa na serikali katika maeneo na sekta mbalimbali nchini
hususani wilaya ya Kasulu na mkoa wa Kigoma |
10:00 – 10:10 |
Taarifa ya habari |
|
|
|
10:10 -11:00 |
MUZIKI NA MATANGAZO |
Kutoa fursa kwa jamii kupata
Burudani ya Muziki
mchanganyiko na matangazo mbalimbali ya Kijamii |
Jamii
nzima |
Jamii kwa ujumla
kupata burudani ya muziki na kuufanya ubongo
kupumzika na pia kusikiliza na kufahamu kuhusu fursa mbalimbali kupitia
matangazo ya kijamii
na kiuchumi |
11:10 – 11:30 |
WATOTO NA TANZANIA |
Kuwapa
fursa watoto nafasi ya kuonesha vipaji vyao katika
fani mbalimbali ikiwemo utoaji wa maelezo na maoni
kuhusu maisha yao |
Watoto walio katika elimu ya msingi |
Watoto kuonesha vipaji katika masuala mbalimbali |
11:30 -14:00 |
MCHANA
MWEMA |
1.
Salaam na Muziki
– kutoa fursa kwa jamii kutakiana mchana mwema
na kuburudika na muziki 2.
Mkusanyiko na uchambuzi wa habari za Ulimwengu 3.
Makala za mapishi
na biashara za vyakula |
Jamii nzima Familia Wachuuzi wa vyakula na mighahawa |
Jamii kupata elimu, na kupashana habari. Pia jamii
itakuwa na fursa ya kusalimiana na kujenga umoja miongoni mwao pamoja na
kubadilishana taarifa muhimu za kimaisha |
14:00 – 15:00 |
SALAAM NA MUZIKI (CHAGUO LA MSIKILIZAJI) |
Msikilizaji kuchagua wimbo au muziki aupendao |
Vijana |
Kuburudisha jamii
hasa vijana majira ya mchana na kuhamasiaha vijana kupenda Sanaa na muziki
sambamba na kuhimiza maadili. |
15:00 – 17:00 |
UJIRANI MWEMA KWA MAENDELEO |
1.
Mahusiano ya jamii
vijijini 2.
Mahusiano ya watanzania na wakimbizi katika
makambi mkoani Kigoma 3.
Mahusiano ya kijamii na kiuchumi kati
ya Tanzania na nchi jirani 4.
Taarifa za kubadili fedha (Bureau de
change) |
Jamii ya Watanzania na wakimbizi |
1.
Jamii kurejea katika umoja wa nyumba kumi kumi
(ubalozi) 2.
Kupunguza migogoro baina ya wakimbizi na
watanzania na kuimarisha shughuli za maendeleo shirikishi zinazofadhiliwa na
mashirika ya wakimbizi mkoani Kigoma. |
17:00 – 18:00 |
MUZIKI NA MATANGAZO |
Kuburudisha na kuhabarisha
kuhusu fursa mbalimbali au taarifa kwa
umma |
Jamii |
Jamii kuburudika na pia kujua
kuhusu fursa na taarifa za kijamii |
18:00 – 21:00 |
Jioni
Mwanana |
Uchambuzi wa habari za ulimwengu,
Taarifa za Michezo na Burudani, Matangazo, na Leo Katika historia |
wote |
Jamii kupata
habari mbali mbali za kijamii na kimataifa, na yaliyojiri katika anga la
michezo na burudani |
21:00 – 22:00 |
Habari na matukio |
Taarifa ya habari
Uchambuzi wa matukio |
wote |
Kupata habari na taarifa za matukio mbalimbali |
22:00 – 00:00 |
Lala Salama |
Muziki laini
na Salaam za lala salama |
wote |
Burudani |
ALHAMISI
Muda |
Jina la Kipindi |
Lengo Kuu |
Walengwa |
Matarajio |
05:00-08:00 |
Taifa letu |
Kipindi hiki
kitahusika na masuala
yafuatayo. 1.
Kuhabarisha jamii kuhusu Utabiri wa hali ya
hewa 2. Salaam za Asubuhi 3.
Uchambuzi wa masuala mbalimbali yatakayolenga jamii kufahamu kuhusu tunu za taifa 4.
Kuarifu na kuchambua taarifa
za kiusalama kwa nia ya
kupunguza na kudhibiti uhalifu mkoani Kigoma 5.
Uchambuzi kuhusu Uchumi na ari ya
vijana kushiriki shighuli za kiuchumi na ulinzi wa Taifa |
Vijana na watu wazima Vyombo
vya dola Viongozi wa Dini Viongozi wa Umma |
1.
Kuongezeka kwa uzalendo miongoni mwa vijana 2.
Mwamko wa vijana kushiriki katika shughuli za kujitolea 3.
Kuongezeka kwa ari ya vijana kusima
historia ya nchi 4.
Kukua kwa matumizi ya lugha ya Kiswahili 5.
Ongezeko la vijana katika vikundi vya ulinzi shirikishi na polisi jamii 6.
Kutotoa taarifa nyeti
kwa wageni 7.
Jamii kufahamu kuhusu Hali ya hewa na fursa za kiuchumi |
08:00 –
10:00 |
UJIRANI MWEMA KWA MAENDELEO MARUDIO |
5.
Mahusiano ya jamii
vijijini 6.
Mahusiano ya watanzania na wakimbizi katika makambi
mkoani Kigoma 7.
Mahusiano ya kijamii na kiuchumi kati ya Tanzania nan chi jirani |
Jamii ya Watanzania na wakimbizi |
3.
Jamii kurejea katika umoja wa nyumba kumi kumi (ubalozi) 4.
Kupunguza migogoro baina ya wakimbizi na
watanzania na kuimarisha shughuli za maendeleo shirikishi zinazofadhiliwa na mashirika
ya wakimbizi mkoani Kigoma. 5.
Jamii kupata taarifa
ya fursa zilizopo nchi
jirani |
10:00 – 10:10 |
Taarifa ya habari |
|
|
|
10:10 -11:00 |
MUZIKI NA MATANGAZO |
Kutoa fursa
kwa jamii kupata Burudani ya Muziki mchanganyiko
na matangazo mbalimbali ya Kijamii |
Jamii nzima |
Jamii kwa ujumla
kupata burudani ya muziki na kuufanya ubongo kupumzika na pia kusikiliza na
kufahamu kuhusu fursa
mbalimbali kupitia matangazo ya kijamii na kiuchumi |
11:10 – 11:30 |
WATOTO NA TANZANIA |
Kuwapa
fursa watoto nafasi ya kuonesha vipaji vyao
katika fani mbalimbali
ikiwemo utoaji wa maelezo na maoni kuhusu maisha yao |
Watoto
walio katika elimu ya msingi |
Watoto kuonesha vipaji katika masuala mbalimbali |
11:30 -14:00 |
MCHANA MWEMA |
4.
Salaam na Muziki – kutoa fursa kwa jamii kutakiana
mchana mwema na kuburudika na muziki 5.
Mkusanyiko na uchambuzi wa habari za
Ulimwengu 6.
Makala za mapishi na biashara za vyakula |
Jamii nzima Familia Wachuuzi wa vyakula na mighahawa |
Jamii kupata elimu, na kupashana habari. Pia jamii itakuwa
na fursa ya kusalimiana na kujenga umoja miongoni
mwao pamoja na kubadilishana taarifa muhimu za kimaisha |
14:00 – 15:00 |
SALAAM NA MUZIKI (CHAGUO LA MSIKILIZAJI) |
Msikilizaji kuchagua wimbo au muziki
aupendao |
Vijana |
Kuburudisha jamii
hasa vijana majira ya mchana na kuhamasiaha vijana kupenda Sanaa na muziki
sambamba na kuhimiza maadili. |
15:00 – 17:00 |
MOYOWOSI KWA MAENDELEO |
Uchambuzi kuhusu
pori la akiba la moyowosi/Kigosi na mchango
wake kwa maendeleo ya jamii |
Wakulima,
wahifadhi na wafugaji |
Jamii kufahamu
kuhusu umhimu wa kuhifadhi na kulinda mapori ya akiba na mbuga za wanyama. |
17:00 – 18:00 |
Kishindo Awamu ya 5 (matokeo chanya, Ikulu) |
Kuhabarisha kuhusu fursa mbalimbali au taarifa kwa
umma kuhusu utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi |
Jamii |
Jamii kujua kuhusu
fursa na taarifa za kijamii |
18:00 – 21:00 |
Jioni Mwanana |
Uchambuzi
wa habari za ulimwengu, Taarifa za Michezo na Burudani, Matangazo, na Leo Katika
historia |
wote |
Jamii kupata habari mbali mbali za kijamii na
kimataifa, na yaliyojiri katika anga la michezo na burudani |
21:00 – 22:00 |
Habari na matukio |
Taarifa ya habari
Uchambuzi wa matukio |
wote |
Kupata habari
na taarifa za matukio
mbalimbali |
22:00 – 00:00 |
Lala Salama |
Muziki laini
na Salaam za lala
salama |
wote |
Burudani |
IJUMAA
Muda |
Jina la Kipindi |
Lengo Kuu |
Walengwa |
Matarajio |
05:00-08:00 |
Taifa letu |
Kipindi
hiki kitahusika na masuala yafuatayo. 1.
Kuhabarisha jamii kuhusu Utabiri wa hali ya
hewa 2.
Salaam za Asubuhi 3.
Uchambuzi wa masuala mbalimbali yatakayolenga jamii kufahamu kuhusu tunu
za taifa 4.
Kuarifu na kuchambua taarifa za kiusalama kwa nia ya kupunguza na kudhibiti uhalifu
mkoani Kigoma 5.
Uchambuzi kuhusu Uchumi na ari ya vijana
kushiriki shighuli za kiuchumi na ulinzi wa Taifa |
Vijana na watu wazima Vyombo
vya dola Viongozi wa Dini Viongozi wa Umma |
1.
Kuongezeka kwa uzalendo miongoni mwa vijana 2.
Mwamko wa vijana
kushiriki katika shughuli za kujitolea 3.
Kuongezeka kwa ari ya vijana kusima
historia ya nchi 4.
Kukua kwa matumizi ya lugha ya Kiswahili 5.
Ongezeko la vijana katika vikundi vya ulinzi shirikishi na polisi jamii 6.
Kutotoa taarifa nyeti
kwa wageni 7.
Jamii kufahamu kuhusu Hali ya hewa na fursa za kiuchumi |
08:00 – 09:00 |
ULIMWENGU WA WANAWAKE |
Kujadili
fursa na changamoto za maendeleo kwa wanawake Kutoa fursa kwa wanawake waliofanikiwa kutoa
ushuhuda na ushauri kwa
wengine kuiga. |
Wanawake |
1.
Wanawake kupata fursa
ya kuzungumzia maisha yao 2.
Jamii kufahamu umhimu
wa wanawake katika
maendeleo ya kaya na taifa. |
09:00 –
10:00 |
KUTANO LA AFRIKA
MASHARIKI |
Uchambuzi wa habari, matukio na muziki kutoka nchi za Jumuiya
ya Afrika Mashariki |
Wageni, wakimbizi na watanzania |
Kuhabarisha umma kuhusu Matukio, shughuli za
maendeleo, Uchumi, siasa, ulinzi na usalama, Sanaa na utamaduni wa nchi
zinazounda jumuiya ya Afrika Mashariki. Kupitia katika kipindi hiki wakimbizi
walioko mkoani Kigoma watasikiliza taarifa zinazohusu maendeleo ya nchi zao
na
hivyo kushawishika kurejea nchini mwao |
10:00 – 10:10 |
Taarifa ya habari |
|
|
|
10:10 -11:00 |
MUZIKI NA MATANGAZO |
Kutoa fursa
kwa jamii kupata Burudani ya Muziki mchanganyiko
na matangazo mbalimbali ya Kijamii |
Jamii nzima |
Jamii kwa ujumla
kupata burudani ya muziki na kuufanya ubongo kupumzika na pia kusikiliza na
kufahamu kuhusu fursa
mbalimbali kupitia matangazo ya kijamii na kiuchumi |
11:10 – 11:30 |
WATOTO NA TANZANIA |
Kuwapa
fursa watoto nafasi ya kuonesha vipaji vyao
katika fani mbalimbali
ikiwemo utoaji wa maelezo na maoni kuhusu maisha yao |
Watoto
walio katika elimu ya msingi |
Watoto kuonesha vipaji katika masuala mbalimbali |
11:10 -14:00 |
MCHANA MWEMA |
1.
Salaam na Muziki
– kutoa fursa kwa jamii kutakiana mchana mwema na kuburudika na
muziki 2.
Mkusanyiko na uchambuzi wa habari za Ulimwengu 3.
Makala za mapishi na biashara za vyakula |
Jamii nzima Familia Wachuuzi wa vyakula na mighahawa |
Jamii kupata
elimu, na kupashana habari. Pia jamii
itakuwa na fursa
ya kusalimiana na kujenga umoja miongoni mwao pamoja na kubadilishana
taarifa muhimu za kimaisha |
14:00 – 15:00 |
MAWAIDHA YA DINI YA
KIISLAMU NA MUZIKI WA KASWIDA |
Jamii kupata
elimu ya dini
ya Kiislamu |
Waislamu |
Kuimairisha umoja
na ustaarabu miongoni mwa
jamii |
15:00 – 17:00 |
DIMBA
LA MWAMBAO |
Jamii kupata
burudani ya hadhi ya mwambao (Mziki wa taarabu) |
Jamii mchanganyiko |
Jamii kuwa na ufahamu
kuhusu mziki wa Mwambao |
17:00 –
18:00 |
KILIMO NA MAZINGIRA (MARUDIO) |
Kufanya uchambuzi kuhusu
fursa za uchumi katika Kilimo, hifadhi ya mazingira na masoko ya mazao
ya kilimo na mazingra. Kuhimiza kilimo
biashara Ufugaji wa nyuki Taarifa za bei ya mazao ya kilimo, Mifugo na misitu |
Wakulima na wafugaji |
4.
Jamii kufahamu mbinu za ukulima bora 5.
Jamii ya wakulima kujua fursa za masoko ya mazao 6.
Kuhimiza jamii kuhusu hifadhi ya mazingira na
ufugaji wa nyuki |
18:00 – 21:00 |
Jioni Mwanana |
Uchambuzi wa habari za
ulimwengu, Taarifa za Michezo na Burudani, Matangazo, na Leo Katika
historia |
wote |
Jamii kupata
habari mbali mbali za kijamii na kimataifa, na yaliyojiri katika anga
la michezo na burudani |
21:00 – 22:00 |
Habari na matukio |
Taarifa ya habari
Uchambuzi wa matukio |
wote |
Kupata habari
na taarifa za matukio
mbalimbali |
22:00 – 00:00 |
Lala Salama |
Muziki laini
na Salaam za lala
salama |
wote |
Burudani |
JUMAMOSI
Muda |
Jina la Kipindi |
Lengo Kuu |
Walengwa |
Matarajio |
05:00-08:00 |
MCHAKAMCHAKA WEEKEND |
1.
Salaam na Muziki 2.
Mazoezi kwa afya 3.
Uchambuzi wa magazeti 4.
Utabiri wa hali
ya hewa 5.
Mijadala mbalimbali ya mwisho wa juma |
MAKUNDI MBALIMBALI |
Jamii kupata
elimu, na kupashana habari. |
08:00 –
10:00 |
WATOTO WETU DUNIA YETU |
Kutoa fursa kwa watoto kuonyesha vipaji na
kujifunza kuhusu masuala mbalimbali ya elimu na maadili Wazazi na jamii
kujadili kuhusu uzazi,
malezi na makuzi ya watoto wao |
Watoto |
Watoto kuimarika
Kitaluma na kimaadili na wazazi
kujua vipaji vya watoto wao |
10:00 -11:00 |
MUZIKI
NA MATANGAZO |
Burudani na Matangazo |
Makundi mbalimbali |
Jamii kupata
burudani na kujua fursa zilizopo kupitia matangazo |
11:10 -14:00 |
Kishindo Awamu ya 5 (Marudio) |
1.
Makala kutoka Ikulu na Matokeo Chanya 2.
Maoni na mitazamo ya jamii 3.
Mkusanyiko na uchambuzi wa habari za kitaifa
na kimataifa |
Jamii nzima |
Jamii kupata
elimu, na kupashana habari. Pia jamii
itakuwa na fursa
ya kutoa maoni na kujenga umoja miongoni mwao pamoja na kubadilishana
taarifa muhimu za kimaisha |
14:00 – 16:00 |
KUTOKA KIJIWENI |
HABARI ZA UJASIRIAMALI, MASOKO, BEI ZA MAZAO
YA KILIMO NA MIFUGO NA HUDUMA NYINGINE |
VIJANA
NA WANAWAKE |
Kujadili fursa na changamoto za kiuchumi, fusrsa
za masoko, wajibu na uwajibikaji wa Vijana na
wanawake katika masuala ya maendeeo. Kuchambua bei za mazao na taarifa kutoka katika masoko mbalimbali mkoani
Kigoma |
16:00 – 17:00 |
BURUDANI YA MUZIKI MCHANGANYIKO NA MATANGAZO MBALI MBALI |
Burudani |
Makundi yote |
Jamii kupata bududani na taarifa mbali mbali kupitia muziki
na matangazo |
17:00 – 18:00 |
MATOKEO CHANYA (Makala kutoka matukio chanya-data
center) |
Mkusanyiko
wa taarifa mbalimbali za utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi
kutoka mikoa mbalimbali |
Makundi yote |
Wananchi kufahamu matokeo ya utendaji
wa shuguli za serikali |
18:00 – 21:00 |
Jioni Mwanana |
Uchambuzi wa habari za
ulimwengu, Taarifa za Michezo na Burudani, Matangazo, na Leo Katika
historia |
wote |
Jamii kupata
habari mbali mbali za kijamii na kimataifa, na yaliyojiri katika anga
la michezo na burudani |
21:00 – 22:00 |
Teknolojia
na maisha yetu (Makala za TCRA, COSTEC, NIDC) |
Uchambuzi kuhusu
matumizi ya teknolojia na
athari zake. Matumizi
bora ya zana za mawasiliano (simu)
na mitandao ya kijamii. |
wote |
Jamii hususani Vijana kujifunza kuhusu teknolojia na
matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii, matumizi bora ya Simu. |
22:00 – 00:00 |
Lala Salama |
Muziki laini
na Salaam za lala
salama |
wote |
Burudani |
JUMAPILI
Muda |
Jina la Kipindi |
Lengo Kuu |
Walengwa |
Matarajio |
05:00-08:00 |
JUMAPILI NJEMA |
1.
Salaam za Asubuhi 2.
NYIMBO za Dini 3.
Mahojiano na viongozi wa dini 4.
Maadili na maendeleo |
Vijana na watu wazima Viongozi
wa Dini Viongozi wa Umma |
1.
Kuongezeka kwa uzalendo miongoni mwa vijana 2.
Jamii kupata fursa
ya kutafakari Neno la Mungu |
08:00 –
10:00 |
MOYOWOSI KWA MAENDELEO MARUDIO |
Uchambuzi kuhusu
pori la akiba la moyowosi/Kigosi na mchango
wake kwa maendeleo ya jamii |
Wakulima, wahifadhi na wafugaji |
Jamii kufahamu kuhusu umhimu wa kuhifadhi na kulinda
mapori ya akimba na mbuga za wanyama. |
10:00 -11:00 |
WATOTO WETU DUNIA YETU MARUDIO |
Kutoa fursa kwa watoto
kuonyesha vipaji na kujifunza kuhusu masuala mbalimbali ya elimu na maadili |
Watoto |
Watoto kuimarika Kitaluma na wazazi kujua vipaji vya watoto wao |
11:10 -14:00 |
MCHANA MWEMA |
Salaam
na Muziki – kutoa fursa kwa jamii kutakiana mchana mwema na kuburudika na muziki Mkusanyiko na uchambuzi wa habari za Ulimwengu Makala za mapishi na biashara za
vyakula |
Jamii
nzima Familia Wachuuzi wa vyakula na mighahawa |
Jamii kupata elimu, na kupashana habari. Pia jamii itakuwa
na fursa ya kusalimiana na kujenga umoja miongoni
mwao pamoja na kubadilishana taarifa muhimu za kimaisha |
14:00 – 17:00 |
DIMBA LA MWAMBAO |
Burudani ya Taarabu |
Makundi yote |
Jamii kupata bududani na taarifa mbali mbali kupitia
muziki na matangazo |
17:00 – 18:00 |
Afya na Maisha yetu |
Mkusanyiko wa taarifa na habari
za Afya |
Makundi yote |
Wananchi kufahamu
masuala ya Afya, kinga, matibabu pamoja na wajibu wao |
18:00 – 21:00 |
Jioni Mwanana |
Uchambuzi wa habari za
ulimwengu, Taarifa za Michezo na Burudani, Matangazo, na Leo Katika
historia |
wote |
Jamii kupata
habari mbali mbali za kijamii na kimataifa, na yaliyojiri katika anga
la michezo na burudani |
21:00 – 23:00 |
MATUKIO YA WIKI |
Taarifa
ya habari Uchambuzi wa matukio |
wote |
Kupata habari
na taarifa za matukio
mbalimbali |
23:00 – 00:00 |
Lala Salama |
Muziki laini
na Salaam za lala
salama |
wote |
Burudani |
0 Comments