Zilizotufikia hivi Punde: Mama aelekea nchini Uturuki kikazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo April 17,2024 amesafiri kuelekea nchini Uturuki Rasmi kuanza ziara yake ya kikazi.

Katika safari hiyo mheshimiwa Rais Dr. Samia ameambatana na viongozi mbalimbali, wadau wa maendeleo na waandishi wa habari 

Mheshimiwa Rais akisalimiana na mmoja wa wadau anaosafiri nao kwenda nchini Uturuki kwa kutumia ndege ya kisasa inayomilikiwa na shirika la ndege la Tanzania ATCL

Habari kamili zitakuijia katika taarifa zetu zijazo

Post a Comment

0 Comments