Rais Dkt Samia afanya jambo chuo cha taifa cha Ulinzi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania Meja Jenerali Wilbert Augustin Ibuge mara baada ya kuwasili katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Juni, 2024. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Luteni Jenerali Salim Haji Othman pamoja na Mkuu wa Utumishi Jeshini Meja Jenerali Marco Gaguti mara baada ya kuwasili katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Juni, 2024. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Juni, 2024. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Mhadhara wenye Mada ya Falsafa ya R Nne (4Rs) ambayo anaitumia katika kuongoza Serikali ya Awamu ya Sita. Mhadhara huo umefanyika  katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26, Juni 2024.

Mhe. Rais Samia hutumia falsafa yake ya R4 ambazo ni Reconciliation(Maridhiano), Resilience(Ustahimilivu), Reforms(Mageuzi) and Rebuilding (Kujenga upya)

Picha zote na. Adam Mzee Ikulu



Post a Comment

0 Comments