Breaking News, Mkurugenzi mpya TISS ateuliwa na kiapishwa

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu KatibuMkuu Kiongozi BwMululi Majula Mahendeka, Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, MheDktSamia Suluhu Hassan amemteua na kumuapisha Bw. Suleiman Abubakar Mombo kuwa Mkurugenzi Mkuuwa Idara ya Usalama wa Taifa.

 

Kabla ya uteuzi huuBw. Mombo alikuwa AfisaMwandamizi wa Ofisi ya RaisIkuluBw. Mombo amechukua nafasi ya Balozi Ali Idi Siwa ambayeamestaafu.


Mwandishi: Sharifa Nyaga


Post a Comment

0 Comments