Afariki dunia akiwa anafanya mapenzi nyumbani kwake.



Kijana mwenye umri wa miaka 23 Raia wa Burundi amepoteza maisha walati akifanya mapenzi.

Tukio hilo limeripotiwa kutokea jumanne 12 August 2024 katika tarafa ya Kayogoro mkoani Makamba kusini mwa nchi ya Burundi.

Kijana huyo ajulikanae kwa jina la Éric(23) alipata mgeni ambae pia alikuwa mpenzi wake alietambulika kwa jina la Grâce (17) ndipo walipoanza kufanya mapenzi nyumbani kwa kijana huo baada ya mda Éric alipoteza maisha 

Kwa mujibu wa mamlaka za vyombo vya dola na idara ya afya nchini Burundi chanzo cha kifo ni mshtuko wa moyo ambapo imedhibitishwa na daktari mkuu wa mkoa wa Makamba ambaye alifika eneo la tukio.

Majirani wa marehemu wakihisi kuwa kijana huo alitumia vidonge vya kuongeza nguvu kwenye tendo kitu ambacho hakijaweza kudhibitishwa.

Marehemu atazikwa jumamosi 17 August 2027 huku mwanamke alieshiriki nae mapenzi akishikiliwa na jeshi la polisi. 

Kamishina wa jeshi la polisi mkoa wa makamba amefahamisha vyombo vya habari kuwa msichana huyo amewekwa kizuizini kwa ajili ya kulinda usalama wake.

Post a Comment

0 Comments