Msasa miundombinu minadani

Waziri wa Mifugo na Uvuvi  nchini Tanzani Abdallah Ulega amesema Serikali itahakikisha inaboresha biashara ya mifugo inayo fanyika katika miundombinu yenye mazingira mhimu.

Waziri amesema hayo leo Bugeni jijini Dodoma baada ya Mbunge wa Mwanga Mkoani Kigoma Mhe,Tadayo kusema kuwa changamoto kubwa za Halimashauri ya mwanga ni suala zima la mapato.

Wizara ya Mifugo na Uvuvi imepanga kufanya ukarabati wa robo ya pili ya ujenzi wa soko la mnada wa bajeti ya mwaka 2024-2025 na katika bajeti ya mwaka 2025/2026 ,pia wizara itashirikiana na halimashauri ya mwanga mkoani kigoma kufanya ukarabati wa haraka wa choo katika mnada huo ili uanze kazi.

Aidha wanachi wa Mwanga wanasubuli sana mnada huo ufunguliwe ili kujipatia mapato na mda huo kila kitu kilijengwa kipya na kikaachwa kwaaajili ya kutokufunguliwa mpaka leo.

Awali ,mna hauwezi kufunguliwa kwasababu yay a choo kutokujegwa na wazili awe tayari kuambatana na mbunge huyo mara baada ya bunge kuisha ili akaone mwenyewe uhalisia wa mambo aliyoyazungumza .

Mbunge huyo ameendelea kwa kusema wizara ya mifugo nauvuvi iwaruhusu wakarabati na kuwahakikishia wanawapa na tarehe ya kufungua mdana huo ili wananchi wa mwanga waendelee kujipatia mapato kutoka kwenye chanzo kikubwa cha mnada huo.

Hata hivyo kwa mujibu wa wizara ya ujenzi katika ripoti ya julai 2024inaonyesha kuwa Mkoa wa Kigoma utaunganishwa na Mkoa wa Katavi kwa barabara ya lami hivyo wizara ya ujenzi itakamilisha usanifu wa kina wa kilometa 102 zilizobakia ikiwa ni mwendelezo wa miradi iliyopo mkoani Kigoma.

Mwandishi;Shukulumana Revokatus

Post a Comment

0 Comments