Raisi Samia; Tanzania ni Nchi inayo jitegemea.

 

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mh Dkt: Samia Suluhu Hassan amefungua mkutano wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi, pamoja na hafla iliyofanyka septemba 17,2024 katika viwanja vya shule ya polis Moshi mkoani Kilimanjaro

Rais Samia aliwapongeza askari polisi kwa kazi yao kubwa na kulinda amani na utulivu wa taifa na kuongeza kuwa ataendelea kutoaa ushirikiano wa kutosha ili kuhakikisha wanatimiza majukumu yao kwa ufanisi


 Rais wa Tanzania  Mh;Samia Suluh Hassan akikagua gwaride
                                                                        
Katika hotuba hiyo ya kihistoria Rais Samia aliweka wazi kuwaTanzania ni nchi inayojitegemea na yenye hadhi na hivyo haiwezi kuamuliwa na watu wa  nje kuhusu  jinsi ya kuendesha m asuala yake  ya ndani,  piaalikea   vikali kauli za kibaguzi  na masuala ya kikatili na  unyanyasaji  wa  kijinsia unaoendele a nchini  na kuwataka polisi kuwa mstari wa mbele katika kupinga ukatili na kuwa baini wanao fanya matukio hayo.

             Maofisa wa jeshi la polisi Tanzania katika maadhimisho ya miaka 60 ya jeshi hilo.  

Maadhimisho ya Kilele cha Miaka 60 ya Jeshi la Polisi yamefanyika katika shule ya Polisi Tanzania Moshi Mkoani  Kilimanjaro septemba 17,2024.

Mwandishi: Ellukagha Kyusa.
Mhariri: Eunice Jacob.

Post a Comment

0 Comments