Taifa Stars jasho jingi nyumbani, Ugenini atapona?

 

Timu ya taifa ya Tanzania taifa stars imeshindwa kuwatoa kimasomaso watanzania baada ya kutoka sare 0-0 na timu ya taifa ya Ethiopia katika michuano ya kufuzu Afcon.

Stars ilikuwa nyumbani katika uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es salaam ambapo imeambulia pointi moja huku ikiwa na kibarua kizito tarehe 10 mwezi huu itakapocheza na timu ya taifa ya Guinea ugenini. 

Taifa stars ipo kundi moja pamoja na timu za taifa za DRC Congo, Ethiopia, na Guinea.

Mwandishi: Rutakilwa 

Post a Comment

0 Comments