Ernest
Ndayikeza (27) mkazi wa Murara mkoani Rumonge nchini Burundi amehukumiwa kifungo
cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na hatia kwa kosa la kuuwa mtoto wa dada yake(7) kwa kumkata shingoni
mpaka kufa.
Muendesha mashtaka
kwenye Mahakama kuu ya Taifa mkoani humo amesema kijana huyo ametekeleza mauaji
hayo tarehe 21 Nov 2024 nyumbani kwake.
Ernest amekiri kosa
hilo mbele ya mahakama, nakudai kuwa aliua mtoto huyo baada ya kusikia sauti
ikimwambia kwamba atowe fidia ya mtu, ndipo akapanga kumua baba yake, ila hakufanikiwa
ndipo akamua mtoto huyo.
Mwandishi:David Ndereyimana, Bujumbura
Mhariri: Abel Mahenge
0 Comments