Mamia ya wananchi Halmashauri ya Kasulu mji wajitokeza kufuatilia kiapo cha viongozi serikali za mitaa

 

Baadhi ya Wananchi waliojitokeza kufuatilia na kusikiliza kiapo cha viongozi ngazi ya mtaa, katika ukumbi wa Halmashauri ya Kasulu Mji.


Wenyeviti Wateule  Halmashauri ya Kasulu Mji wakijaza fomu za kiapo cha uadilifu katika ukumbi wa mikutano uliopo eneo la Halmashauri hiyo .

Picha na Eunice Jacob


Post a Comment

0 Comments