Mkuu wa wilaya wa Wilaya ya Kasulu akiendelea ameendelea kufuatilia hali ya usalama ilivyo wakati zoezi la upigaji kura likiwa linaendelea katika Wilaya yake Tayari amefika katika kituo Cha Zahanati ya Kabula nzwili kata ya Kurugongo ,Kasulu vijijini .
Wananchi wakiendelea na zoezi la kupiga kura katika kituo Cha Zahanati ya Kabulanzwili kata ya Kurugongo ,Kasulu vijijini.
Mwandishi: Eunice Jacob
Mhariri:Harieth Dominick
0 Comments