Taifa Stars Yapanda nafasi 6 ubora viwango vya FIFA

 

Time ya Taifa ya Tanzania  (Taifa Stars) imepanda kwa nafasi 6 kwenye viwango vya ubora wa soka duniani vilivyotolewa na FIFA Jana  Novemba 28,2024 kutoka nafasi ya 112 na sasa inashika nafasi ya 106.

Wakati taarifa hiyo ikionyesha wana Afrika wengine  Kenya kushuka kwa nafasi mbili, kutoka 106 mpaka 108, 

kwa upande wa Uganda wameshuka kwa nafasi moja, kutoka 87 mpaka 88 huku Zambia wakipanda kwa nafasi 7, kutoka nafasi ya 94 mpaka 87.

Aidha taarifa hiyo inaonyesha timu kumi bora Afrika 

1. Morocco
2. Senegal
3. Egypt
4. Algeria
5. Nigeria
6. Ivory Coast
7. Cameroon
8. Mali
9. Tunisia
10. Afrika Kusini

Wakati timu bora ni Morocco kwa Afya, Timu bora Duniani ni Argentina.

Mwandishi:Harieth Dominick  



Post a Comment

0 Comments