Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri akianza na uteuzi wa Prof. Palamagamba Kabudi kuwa waziri wa Habari Utamaduni Sana na Michezo akichukua nafasi ya Mhe. Jerry William Slaa ambaye amehamishiwa Wizara ya Mawasiliano Teknolojia ya Habari.
0 Comments